Msaada: Mtoto kutokwa na damu puani usiku alalapo

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,782
Reaction score
4,111
Habari wana jamvi?
Nimekuja hapa kuomba msaada kwa Wataalamu wanaoelewa haswa kuhusu tatizo la mtoto mdogo miaka 1 - 4 kutokwa na damu puani wakati wa usiku alalapo.

-Je, tatizo hili husababiswa na nini?
-Je, nawezaje kukabiliana na tatizo hili?

Ahsanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…