Msaada: Mtoto kutokwa na udenda

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Habari wakuu,
Nina kijana wangu wa kiume ndo anatimiza miaka 2 tatizo lake kutokwa UDENDA.
Anatokwa udenda mpaka analowanisha nguo within an hour.
Msaada kama unajua tiba
 
Tradition wise wajomba wanakula huo udenda kwenye chakula pasi na wao kujua. Mtoto wa sista wangu alipona through that way
 
Tradition wise wajomba wanakula huo udenda kwenye chakula pasi na wao kujua. Mtoto wa sista wangu alipona through that way
Huu utaratibu tuliujaribu ukogoma. Jamaa anatirirsha udenda kama Lita 20 per day
 
Tatizo yuko kijijini. I believe hao jamaaa wapo hapa. Watanisaidia
 
Mkuu, nenda Agape Center kituo cha kanisa katoliki pale atapata maombi na hakika Yesu atamponya.

Yuko dada alikua anakula magodoro lakini alipofika pale baada ya siku kadhaa alipona.

Iko njia ndani ya jina la Yesu.
 
Mkuu, nenda Agape Center kituo cha kanisa katoliki pale atapata maombi na hakika Yesu atamponya.

Yuko dada alikua anakula magodoro lakini alipofika pale baada ya siku kadhaa alipona.

Iko njia ndani ya jina la Yesu.
Asante Mkuu but tupo kijijini tena mikoa ya mbali na Dar
 
Kulea watoto kuna changamoto nyingi sana,mm mwanangu alikua anatoa udenda km hivyo lkn sio mwingi baadae ulikata wenyewe.
 
Hakuna shortcut linapokuja suala la mtoto,wahi hospitali kwa wataalam mkuu watajua la kufanya usilete utani utapata lawama tu baadae duh mpaka miaka 2 unajiuliza khaaaaaa.
 
Unatoka frequently au akilala? Ila vizuri kwenda hospital
Unatoka anytime aweamelala anatembea au anakula.
But yuko poa
Very smart na ana uwezo mkubwa wa kuyofautisha mambo compered to his age
 
Mpe maji mengi akiendelea , mpeleke kwa daktari wa watoto
 
Mpeleke kwa daktari WA watoto I wish atafanyiwa diagnosis Na atapona tu
 
Mnunullie chewing gums, ila zile zisizokuwa na sukari zisijeharibu meno, awe na utaratibu wa kutafuna kila mara udenda utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…