Naombeni msaada ndugu zangu. Nina mtoto wa kiume miaka 7 ana tatizo la kuvimba korodani moja ya kulia, kuna wakati inarudi kawaida ila Mara nyingi inavimba nimempeleka hospital wamesema ni henia.
Anatakiwa afanyiwe upasuaji, je kwa umri wake hamna dawa zaidi upasuaji maana nina wasiwasi sana kuna mtu kanitisha uko mbele anaweza asiweze yale mambo yetu. Nisaidieni kwa ushauri.