Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Hospital wanasema ni kawaida kwa mtoto mchanga boss...Acha upuuzi mpeleke mtoto hospital haraka
Watoto kuharisha wanakata moto fasta ,kulia usiku kucha dalili mbaya kuwa anaumwa Halaf unaandika jf kwanza kimbia hospital acha mchezo na ubahili
Nashukuru sana kwa maneno yako mazuri.Wababa wengine wajinga kweli mtoto analia usiku kucha na kuharisha badala umpeleke hospital Kwa daktari unaanzisha Uzi, useless father
Ni second born. Mchana angalau analala na kutulia tofauti na usiku mkuu.Mkuu,umeenda hospitali gani?Mtoto kulia ni ama njaa,ugonjwa.Njaa mara nyingi unakuta maziwa ya mama hayatoki vya kutosha.Ugonjwa lazima utakuwa unampa maumivu/discomfort.
Ushauri kwanza siku saba ni veri delicate so ni muhimu umuone daktari wa watoto.Hata hivo nikuulize analia usiku tu au analia usiku halafu mchana katulia?Kama jibu ni hivyo basi inabidi Ukeshe naye umbembeleze maana......
Kuna wakti watoto wanaona vituko vya hii dunia vya usiku kama wanga,wachawi,walozi etc na kujikuta wanalia maana hakuna lingine wanaweza kufanya.
Nafikiri hapa jukwaani kuna wataalamu wa Ndumba kama Mshana Jr wanaweza pia kukushauri maneno ya kumwambia au kufanya ili aache kulialia...
Hongera kwa kuwa baba and I bet ni First born.
Kawa we ni daktari halafu umetupia neno la wanga na wachawi. Upokonywe leseniMkuu,umeenda hospitali gani?Mtoto kulia ni ama njaa,ugonjwa.Njaa mara nyingi unakuta maziwa ya mama hayatoki vya kutosha.Ugonjwa lazima utakuwa unampa maumivu/discomfort.
Ushauri kwanza siku saba ni veri delicate so ni muhimu umuone daktari wa watoto.Hata hivo nikuulize analia usiku tu au analia usiku halafu mchana katulia?Kama jibu ni hivyo basi inabidi Ukeshe naye umbembeleze maana......
Kuna wakti watoto wanaona vituko vya hii dunia vya usiku kama wanga,wachawi,walozi etc na kujikuta wanalia maana hakuna lingine wanaweza kufanya.
Nafikiri hapa jukwaani kuna wataalamu wa Ndumba kama Mshana Jr wanaweza pia kukushauri maneno ya kumwambia au kufanya ili aache kulialia...
Hongera kwa kuwa baba and I bet ni First born.
Basi hashibi maziwa mkamue maziwa mama uone kasi yanavyotoka mtoto kama Hashib lazima alieHospital wanasema ni kawaida kwa mtoto mchanga boss...
Okay Mpeleke hospitali,Ila Pia kama mchana analala vizuri na ananyonya vizuri na kuharisha sio kwa sana mpeleke hospitali just in case kwenye huko kuharisha.Mwambie meme awe anasafisha ziwa kabla ya kumnyonyesha pamoja na kuoga na aepuke kutumia manukato na azingatiwe usafi wa mazingira ya mtoto.Ni second born. Mchana angalau analala na kutulia tofauti na usiku mkuu.
Nafanya utaratibu niende hospital kubwa zaidi
Ndio uache uzwazwa utakuja kuua mtoto Kwa uvivu, nenda hata hospital nyingine, hafu ukute mama Hana maziwa. Yani unapata usingizi mtoto akilia na kuharisha usiku kucha,kuwa na huruma aiseeNashukuru sana kwa maneno yako mazuri.
Asante MkuuNdio uache uzwazwa utakuja kuua mtoto Kwa uvivu, nenda hata hospital nyingine, hafu ukute mama Hana maziwa. Yani unapata usingizi mtoto akilia na kuharisha usiku kucha,kuwa na huruma aisee