Hi jf members,
Mtoto wangu ana mwezi 1 na wiki 2, usiku huwa anajisokota na kuanza kulia badae anatapika, hili limemtokea mara kwa mara, lakini usiku amesumbua sana kwa hali hiyo hadi nimeogopa,
Mwenye utalaamu na watoto wachanga tusaidiane
Anatapika au anacheua? Usikute unajichanganya, watoto wakishanyonya inabidi kucheulishwa, ndio maana anajisokota kwa sababu ya gesi bila kucheua anakua anaumia