Msaada,mtoto mwaka moja na nusu kushindwa kukaza shingo,kukaa wala kutembea

pole sana ila nenda hospital huwa wanapata nafuu kiasi kuliko kumwacha bila kumpeleka pia muandalie mazingira mazuri kwa sababu ni mtu wa kulala muda wote ,ita watoto wajaribu kumchangamsha n,k pole haya mambo tunayo katika jamii yanakwaza ila inabidi kuikubali hali na kufanya follow up kwa madaktari n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…