Upungufu wa madini ya folic. Wamama wajawazito huwa wanashauriwa sana kula dawa za folic acidKiaje kaka....????? Ukitumia lugha ya kitaalamu inakua ngumu kidogo kueleweka...
Sent from my TECNO M5 using Tapatalk
Upungufu wa madini ya folic. Wamama wajawazito huwa wanashauriwa sana kula dawa za folic acid
Mkuu ni chakula gani kinaweza kuwa mbadala wa hiyo dawa ya Folic acid??
Au ni chakula gani kinaongeza madini ya Folic???
C.c. MziziMkavu, measkron, hippocratessocrates
Mkuu ni chakula gani kinaweza kuwa mbadala wa hiyo dawa ya Folic acid??
Au ni chakula gani kinaongeza madini ya Folic???
C.c. MziziMkavu, measkron, hippocratessocrates