Msaada: Mtoto na Allergy ya maziwa

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
5,651
Reaction score
6,966
Mtoto wa miaka miwili na nusu anatatizo la allergy ya protein hasa maziwa, mwili unavimba na matokeo yake anajikuna na kusababisha vidonda. Madaktari wameshaonwa lakini bado tatizo lipo.
 
pole sana. kama tatizo umetambua ni maziwa kwanini usimmwachishe kunywa maziwa kisha uzungumze na wataalamu kuhusu source mbadala ya protein?
 
pole sana. kama tatizo umetambua ni maziwa kwanini usimmwachishe kunywa maziwa kisha uzungumze na wataalamu kuhusu source mbadala ya protein?

Akitumia maziwa au chochote chenye mchanganyiko wa maziwa mfano biscuit ndio hali inakuwa mbaya; nyama na samaki ni kwambali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…