RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #21
ha ha ha ha mkuu nihatari.Mungu amjalie ila akipona mkalisheni chini Siku nyingine atakojoa dagaa
Kuna majini yanayonyonya damu,na kwa jina la Yesu wa Nazareth ukiamini anapona kabisaWakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kiukweli nimechanganyikiwa.Mtoto wa dada yangu kijana wa miaka 16 anakojoa damu.Mwili unabadilika rangi na kuwa mweupe,macho meupe hospitalini wamekosa ungonjwa wa aiona yoyote.Nakashaongezewa zaidi ya drip 4 za damu na maji.Kwa sasa yupo hospitali ya nkiga.
Nawaza apelekwe kuombewa dua sijui ntakuwa sahihi.Kiukweli nimechanganyikiwa.
Iyo bei atakayotajiwa mbona damu itakata yenyewe... Unamjua au unamsikia Mzizi Mkavu.... Niliwahi kumtafuta nikiwa mgonjwa akanitajia dawa 3M....Sikugeuka!!...... Uyo Aende kwenye maombi tu.. ndo atakapopona. Full Stop.na mimi nilitaka nimshauri akutafute,afadhali umejileta mkuu,na akipona alete mrejesho hapa ili na sisi yakitukuta tujue pa kukimbilia,ila angalizo kwa mkuu Mzizi MKAVU,chonde usimbamize bei kali ndugu yetu huyu,tunaamini humu JF sisi sote ni ndugu tusiojuana sura,ila kupitia majina yetu,so tusaidiane,binafsi nimeguswa na kushtushwa na tatizo la huyo dogo,nime`imagine lingekuwa ni tatizo langu,daah!
Nakuunga mkono,jamaa ana bei sana!!Iyo bei atakayotajiwa mbona damu itakata yenyewe... Unamjua au unamsikia Mzizi Mkavu.... Niliwahi kumtafuta nikiwa mgonjwa akanitajia dawa 3M....Sikugeuka!!...... Uyo Aende kwenye maombi tu.. ndo atakapopona. Full Stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba mbadala?anaendelea vizuri kuna mtaalamu alimshughulikia.
Inategemea na imani ya mtu, maombi yanaponyeshaHapo hakuna cha kuombea kitu huo ni uchawi wa kumtoa mwanamke damu. Ataombea na wachungaji hata 1000 sio rahisi kupona.Mpaka ampate mtibabu wa dawa za asili ndipo atakapo weza kutibiwa na kupona.
Pamoja na maombi yanaponyesha kuna maradhi mengine hata uombewe na Wachungaji 1000 na Masheikh wawe 1000 huwezi kupona kabisa pasipo na kutumia dawa kutibu hayo maradhi uliyokuwa nayo. Kama ni kweli Maombi yanaponyesha Wachungaji waende hospitali za Wendawazimu na wagonjwa wa Ukimwi na Wagonjwa wa Saratani wakawafanyie maombi wagonjwa ili wapate kupona? Kama ni kweli Maombi yanaweza kumponyesha mgonjwa pasipo na kutumia dawa. Wachungaji waende Mahospitalini kuwafanyia Maombi wagonjwa ili wapate kupona sio kumuombea Mtu mmoja kanisani kwa jina la Bwana Yesu kristo maombi feki hayo mimi huwa ninayaita. Angalia hii video hapa chini.