Atapelekwa jela ya watoto akithibitika tuhuma zinazomkabiliNatumaini wote tuko poa.
Wajuzi wa sheria msaada, nina jamaa yangu mwanae kakutwa na kesi ya kulawiti watoto wenzake, kwa wajuzi wa sheria hukumu ikoje maana huyo mtoto yupo darasa la 4!
Pia soma: Kesi za ulawiti hasa kwa watoto wadogo zimekithiri sana. Hatua gani kali zifanyike? Kwanini sheria imepooza katika hili?
Kuna mahakama za watoto faili lake litapelekwa huko ikithibitika andaa maandalizi ya nauli kwenda kumsalimia hadi amalize kifungoNdo nataka kujua maana yupo darasa la 4 kwaiyo akihukumiwa miaka 30 kwaiyo magereza wataweza kumtunza kuanzia darasa la 4 au kuna hukumu tofauti na iyo
HakikaAsiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
Mtoto Kuwa darsa la 4 sio sababu ya kutokuhukumiwa. Sheria itachukua Mkondo wake.Ndo nataka kujua maana yupo darasa la 4 kwaiyo akihukumiwa miaka 30 kwaiyo magereza wataweza kumtunza kuanzia darasa la 4 au kuna hukumu tofauti na iyo
Kwani Sheria inasema hivyo?Huyo ni viboko na uangalizi wa karibu ikiwezekana wazazi wake wapigwe faini
Huyo anahesabika mtoto, Sheria zipo kwa watu wazima kuanzia miaka 18Kwani Sheria inasema hivyo?
Watoto nao wapo chini ya Sheria. Zipo Sheria zinazowahusu.Huyo anahesabika mtoto, Sheria zipo kwa watu wazima kuanzia miaka 18
Ukisoma vifungu vya Sheria zimeanzia kwa watu wenye umri wa miaka 18 Ila wenye ufahamu watakuelewesha zaidiWatoto nao wapo chini ya Sheria. Zipo Sheria zinazowahusu.
Naamini watazingatia kwamba zipo Haki za mtoto. Kama zipo Haki za Mtoto ni lazima pia kuwepo Wajibu wa mtoto. Kwa mantiki hiyo; Kama kuna Haki na Wajibu ni lazima Ziwepo Sheria zinazolinda haki na wajibu huo. Je, kama mtoto hatimizi wajibu wake itakuwaje? Je, Kama mtoto mmoja anavunja Haki za watoto wenzake itakuwaje? Ukiangalia hoja hizo kwa mapana yake utaona ni lazima ziwepo sheria za kumwajibisha mtoto mtundu, mtoto mfidhuli au mtoto mkorofi kama huyo anayewalawiti watoto wenzake. Huyo ni mtoto mkosaji.Ukisoma vifungu vya Sheria zimeanzia kwa watu wenye umri wa miaka 18 Ila wenye ufahamu watakuelewesha zaidi
Yeah. Lakini linapokuja suala la mtoto kutenda kosa la kijinai e.g. Kulawiti watoto wenzake; Wazazi/Walezi wanaweza kuwajibishwa kwa kosa la kuzembea malezi ya mtoto wao.Wazazi wengi tumesahau malezi