Hiyo sina uhakika ni niniAsante sana.
Vipi kuhusu choo cha Mara kwa Mara afu kidogo kidogo?
Safi sanaAna aleji na pampers anazotumia, usimvalishe kwa muda atumie nepi, zincast ni nzuri sana aendelee kutumia.
Ana aleji na pampers anazotumia, usimvalishe kwa muda atumie nepi, zincast ni nzuri sana aendelee kutumia.
Apunguze kumlisha mtoto kila saaAsante sana.
Vipi kuhusu choo cha Mara kwa Mara afu kidogo kidogo?
Kesi hiyo ni allerg na pampersPia kutomsafisha mtoto pindi ajisaidiapo/kumwacha kukaa na kinyesi huweza sababisha kutokea kwa tatizo husika !!!
Kumbe hata kwenye MD upo vizuri nikajua upo poa tu MMU[emoji13]Ana aleji na pampers anazotumia, usimvalishe kwa muda atumie nepi, zincast ni nzuri sana aendelee kutumia.
Asantee sanaTumia nepi, mlishe kwa muda maalumu siyo kila dakika hii itasaidia hata yeye hatajisaidia Mara kwa Mara, halafu kuwa makini akijisaidia uwahi kumsafisha na ujitahidi kumbadilisha kila akikojoa, mkojo huwa unatabia ya kutoa vidonda
Hata mkubwaApunguze kumlisha mtoto kila saa
ampe chakula kila baada ya mda flani na asimshindilie machakula mengi na wakati anaona mtoto ana puuu asimuhangaishe amuache apuu vyote Mara nyingi mtoto akipuu tuu alaf ukamsumbua au kumshtua anaacha kabisa anakuja tena Ku puu baadae
Kwenye sample ya stool wamekuta nn walivyofanya vipimo?Asantee sana
Screening ya digestive system Inaweza kuja na majibuAsante sana.
Vipi kuhusu choo cha Mara kwa Mara afu kidogo kidogo?
Tatizo wamama wengi siju hizi ni wavivu ajabu. Mtoto anakaa na diaper muda mrefu, akijisaidia wanamfuta na wipes ndo imetoka. Hii inawafa ya watoto kuungua makalio na kupata uti zisizoisha. Wamama badilikeni aisee. Valisheni watoto diaper pale kqenye ulazime, sio mtoto anashinda na diaper siku nzima, na hivi dada wa kazi ndo anaachiwa mtoto basi mtoto hata kama ka poo dada atasubiri amalize rundo la nguo aliloachiwa ndo akamsafishe mtoto. So badAna aleji na pampers anazotumia, usimvalishe kwa muda atumie nepi, zincast ni nzuri sana aendelee kutumia.
pia akijisaidia usimfute na wipes tumia maji masafi na kitambaa kumsafisha
Sema tu ni mwanao wala sio wa ndugu yakoHabari wana jamii,
Kuna ndugu yangu wa damu anasumbuliwa na tatizo la kinyesi kwa bintie wa miezi kumi.
Mtoto ana afya nzuri kabisa kila choo chake ndio tatizo.
Anjisaidia Mara kwa mara kidogo kidogo..ukizingatia anatumia pampas basi kwenye makalio kimeungua hadi kunatoa damu .
Ameshaenda hospital na amewaona madaktari Wa Watoto.. Ikiwemo muhimbili na aghakani.. Akapewa dawa za kupaka aina ya zincast.
Afanyeje? Maana mtoto analia muda wote kwa sababu ya maumivu.
Hahahaha hata mkubwa niniHata mkubwa
kupuu ndio niniApunguze kumlisha mtoto kila saa
ampe chakula kila baada ya mda flani na asimshindilie machakula mengi na wakati anaona mtoto ana puuu asimuhangaishe amuache apuu vyote Mara nyingi mtoto akipuu tuu alaf ukamsumbua au kumshtua anaacha kabisa anakuja tena Ku puu baadae