Msaada: Mtoto wa miezi 10 kupata choo kidogo kidogo mara nyingi kwa siku

Asante sana mommythebest . ushauri utafika
 
Safi sana. Ujumbe utafika.
 
Hautakiwi kusumbuliwa wakat unakata gogo
Yeee ukisumbuliwa tuu yanarudi.... Hujawahi kukata gogo kwenye choo chakavu ambacho wa nje na Wa ndani wanaonana
Yaan mtu akikatiza tuu gogo linarudi mpaka baadaeee
 
Inategemea ni haja urojo au ya kawaida.. na je anaonyesha kuugua au kuwa na homa..

Kwa kivyovyote mimi ningeanza pia kwa kumpatia maji mengi zaidi anywe nione.
Ya nepi kubadilika mmeambiwa.. nyingine ni hasipobadilishwa haraka.
Na muache apate hewa kila mara apone huko. Hili tatizo kwa wengi inakuwaga malezi kwa mtoto. Hata vaseline nzuri inafanya kazi..
 
How old is mtoto?keshaanza vyakula vingine?mixed feeding
Kwa siku unamfeed mara ngapi?

Je choo kina kamasi kamasi au damu?

Maji ya kunywa unampa na unachemsha kama unampa?

Mala-absorption
 
Yeee ukisumbuliwa tuu yanarudi.... Hujawahi kukata gogo kwenye choo chakavu ambacho wa nje na Wa ndani wanaonana
Yaan mtu akikatiza tuu gogo linarudi mpaka baadaeee

Au choo kiwe na mazingira yasiyoridhisha
 
Asante cocochanel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…