Msaada: Mtoto wa miezi 11 vidonda mdomoni

Msaada: Mtoto wa miezi 11 vidonda mdomoni

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
66
nilikwenda jana kumtembelea my sister nikakuta mtoto wake mdogo wa miezi 11 hayupo sawa.
Anavidonda mdomoni vinafanya hawezi kula chakula kingine zaidi ya kunywa maziwa.

wakuu hii inaweza kuwa ni sababu ya kitu gani na vipi kuhusu tiba yake. kama kuna mtu anafaham hospital ya watoto anaweza kumpeleka naomba anipatie jina la hiyo hospital au dokta.

natanguliza shukrani
 
mpeleke Pale Morocco kwa Dr Massawe specialist wa watoto atamcheck huenda vikawa vipo hadi kooni...
 
Back
Top Bottom