[emoji102] [emoji101] solution ni nini sasa ili anyonye tenaLabda alimuona baba na yeye akiyanyonya[emoji12] [emoji12]
Pole mkuuu,,kuna vitu viwili hapo,kwanza ni hali ya mtoto anaweza akawa anayafeel maziwa so matamu,,au mama yake may be alitoka sehemu (amesuka nywele au kuweka fasta au kajipodoa)kwa hiyo motto anaona so muhusika .Pili kuna mambo ya ushirikina au roho chafu imemuingia mzazi,,how hiyo roho chafu like pepo limemvaaa mama ,,mama anaonekana kwa mtoto ni MTU mwingine so mtoto hawezi nyonya,,,,Suluhisho go to church haraka mama aombewe ili pepo litoke mtoto at a nyonya tuuu[emoji102] [emoji101] solution ni nini sasa ili anyonye tena
[emoji28] [emoji28] [emoji28] shoo una kichanga eeehMwanangu nae kakataa ziwa moja halitakiki kabisa ananyonya moja tu
Wangu alizira na miezi saba,Kama haumwi, ndio basi tena kishakataa nyonyo hivo mtafutie formula aanze kunywa S26 gold ni mazuri.
Mie alikataa miezi minne piaWangu alizira na miezi saba,
Akaacha kabisa kabisa mpaka saa hizi anaongea ndo anadai nyonyo
Bahati mbaya yake,Wangu alizira na miezi saba,
Akaacha kabisa kabisa mpaka saa hizi anaongea ndo anadai nyonyo
Habari zenu wanajf , kama kichwa cha habari kiavyojieleza hapo juu
Nina mtoto wa umri wa miezi minne sasa, jana majira ya saa moja jioni mtoto alisusa kunyonya ziwa kutoka kwa mama yake, hii ilitokea tu gafla baada ya mtoto kutoka usingizini
Hadi mida hii mtoto hataki kuona ata ziwa la mama yake, tumeshindwa kuelewa , madakitari ama watu wenye ufahamu ni hili swala naombeni msaada wa haraka I'll nieze kumsaidia mwanangu anahangaika