Msaada: Mtoto wa miezi saba ana matiti

Msaada: Mtoto wa miezi saba ana matiti

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Habari,

Mtoto wangu ana miezi 7 tangu nimemzaa kwenye matiti yake kuna vitu vigumu kwa ndani kama mtoto anaeanza kuota maziwa, Ni wa kike sasa sielewi ni kawaida au kunatatizo?
 
Watakuja mama,ila ukiwa unasubiri ni vema ungeenda hospital karibu unapoishi ii upate msaada zaidi
 
Hiyo ni hali ya kawaida uwa inatokea kwa watoto kwa jina la kitaalam inaitwa ''witch milk'' unaweza kugoogle utapata maelezo zaidi
 
tatizo hatuyaoni yalivyo.... ila kama ni tudogo tu wala usiogope ni kawaida sana kutokea...

ila kama una uzoefu na watoto na unaona mabadiliko yasiyo ya kawaida sio vibaya kumpekeka kwa daktari amuone halafu akuthibitishie kama ni ya namna gani.
 
Back
Top Bottom