Mtoto wangu ana miezi 7 tangu nimemzaa kwenye matiti yake kuna vitu vigumu kwa ndani kama mtoto anaeanza kuota maziwa, Ni wa kike sasa sielewi ni kawaida au kunatatizo?
tatizo hatuyaoni yalivyo.... ila kama ni tudogo tu wala usiogope ni kawaida sana kutokea...
ila kama una uzoefu na watoto na unaona mabadiliko yasiyo ya kawaida sio vibaya kumpekeka kwa daktari amuone halafu akuthibitishie kama ni ya namna gani.