Msaada: mtoto wangu amepata homa ya mapafu

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Jioni hii ameanza kupumua kwa shida afu anakataa kunyonya nipo mbali na hospital usafiri nimekoswa nimeenda kwenye kibada kimoja cha madawa nimepatiwa dawa hii

Itanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umejuaje kama amepata homa ya mapafu kumbe ht hosptl hujafika?
 
Hivi wewe simu unayo unashindwa kuwapigia rafiki zako ndg zako wafanye mpango wa usafiri wakufate ulipo unanza kubet kwa mwanao kwa nini mnzaaa mkiwa watoto hivi pumbavu kabisaa piga simu kwa ndg zako au rafiki zako walete usafili umpeleke mtoto hospital acha kubeti ma maisha ya mtoto.
Mkuu umejuaje kama amepata homa ya mapafu kumbe ht hosptl hujafika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital nimbali nimekoswa usafili afu usku umeingia nimeenda kwenye kibanda kimoja cha madawa wamempima wamesema ana limonia homa ya mapafu na dawa ndo hizo nilizoonyesha hapo mazingira yetu huku sio rafki
Mkuu umejuaje kama amepata homa ya mapafu kumbe ht hosptl hujafika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi mbona umeniqoute mimi badala ya muhusika? kwema!πŸ˜’πŸ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…