Msaada: Mtoto wangu ana doa usoni chini ya jicho

Msaada: Mtoto wangu ana doa usoni chini ya jicho

Doa la aina gani hilo au ugonjwa wa ngozi ? Maana ukisema doa tu sizani kama linahitaji dawa, ila ukisema kuna ugonjwa wa ngozi mfano fangasi, kiba (shilingi) nk hapo ndio unaweza hitaji dawa kutibu hilo tatizo la ngozi
 
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke..
View attachment 854399View attachment 854400

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alizaliwa nalo na halina madhara yoyote bora uliache tuu usije msababishia vingine au upofu kwa kuangaika na madawa ya kulifuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke..
View attachment 854399View attachment 854400

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwanza umetumia dawa ya aina moja tu! Pili, hilo doa naona halina madhara, ila badala ya kutumia madawa nakushauri umpeleke kwa daktari wa ngozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom