hunter2018
Member
- Aug 12, 2018
- 9
- 7
Umejaribu kumuona specialist wa ngozi?Mtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke..
View attachment 854028View attachment 854029
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alizaliwa nalo na halina madhara yoyote bora uliache tuu usije msababishia vingine au upofu kwa kuangaika na madawa ya kulifutaMtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke..
View attachment 854399View attachment 854400
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwanza umetumia dawa ya aina moja tu! Pili, hilo doa naona halina madhara, ila badala ya kutumia madawa nakushauri umpeleke kwa daktari wa ngoziMtoto wngu anadoa usoni chini yajicho"na ameshatumia dawa kadhaa zatyub navidoge lkn doa bado alijaisha wala kupungua'nalinazidi kukua kidogo kidogo'Kwahyo kwa anayejua dawa yakulimaliza doa hili kwenye uso wamwanangu..naomba msaada wke..
View attachment 854399View attachment 854400
Sent using Jamii Forums mobile app