Msaada:Mtoto wangu anasumbuliwa na macho

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Ndugu wataalam naomba msaada mtoto wangu anasumbuliwa na macho yaani nimetumia dawa hasa ya maji lakini hamna kitu.
Msaada jamani maana mtoto anateseka.
 
maelezo yako bado hayajajitosheleza mkuu.
 
dawa ulizotumia ni ushauri wa daktari au umetumia uzoefu tu? nakushauri umpeleke hospitali kwanza tena kwa specialist wa macho then from there utapata mwanga nn tatizo na jinsi ya kumpatia tiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…