HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 2,952 Reaction score 5,583 Oct 24, 2021 #1 Habari zenu. Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu. pia mtu/mahali kwa kukata kioo round (15mm -300mm)/ sinous shapes. Kwa Dar na Arusha/Moshi. Asanteni
Habari zenu. Naomba msaada wa mtu/mahali pa kukata kioo kuwa round (clean cut) na kutoboa kioo /vioo vya aina mbali mbali vishimo vya vipimo (3mm-60mm) tofauti kwa ubora wa hali ya juu. pia mtu/mahali kwa kukata kioo round (15mm -300mm)/ sinous shapes. Kwa Dar na Arusha/Moshi. Asanteni