Nicazius
Senior Member
- Feb 6, 2008
- 143
- 17
Mtu huyo mwenye kadi hii amehangaika kutafuta kituo chake cha kupigia kura bila mafanikio ameangalia mpaka kwenye website ya nec bila mafanikio, je watu kama hawa wapo wangapi na nec wanaagenda gani ya siri na mambo kama haya, watu wengi maeneo ya keko wanalalamika sana kuwa majina yao hayaonekani, jamaani tuchukue hatua.