immasakha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 489
- 281
Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kingereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza kuongea hiyo lugha mara kwa mara.
Kutokana na hayo sasa nimefika hatua ya kutaka kutafuta wa/mtu ambae ataweza Kuongea na mimi ili pale ninapokosea anirekebishe, kwa yule ambae yupo tayari ninamkaribisha.
Kutokana na hayo sasa nimefika hatua ya kutaka kutafuta wa/mtu ambae ataweza Kuongea na mimi ili pale ninapokosea anirekebishe, kwa yule ambae yupo tayari ninamkaribisha.