Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kiengereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza kuongea hiyo lugha mara kwa mara.
Kutokana na hayo sasa nimefika hatua ya kutaka kutafuta wa/mtu ambae ataweza Kuongea na mimi ili pale ninapokosea anirekebishe, kwa yule ambae yupo tayar ninamkaribisha.
Let's begin!Ok thanks, we can start
Mkuu nilikiri hapo spells error na hiyo inatokea katika uandishiMie nakushauri uanze kwanza kujifunza Kiswahili kabla ya English maana hata Kiswahili kinakupa tabu si unaona heanding yako hapa chini:
Msaada wa lungha ya kiengereza
Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by immasakha, 20 minutes ago
Kwanza nijuze unataka kuongea kingereza au maneno ya kingereza...Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kiengereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza kuongea hiyo lugha mara kwa mara.
Kutokana na hayo sasa nimefika hatua ya kutaka kutafuta wa/mtu ambae ataweza Kuongea na mimi ili pale ninapokosea anirekebishe, kwa yule ambae yupo tayar ninamkaribisha.