msaada: muda wa kuacha kufanya mapenzi na mama mjamzito?

Unaruhusiwa siku zote, labda kama mama ana tatizo.
 
Kadri anavyojisikia yeye mwenyewe (mjamzito) so akisema amechoka don't force....ila ni nzuri kwa kupanua njia ya uzazi
 
Hamna mdhara kabisa kama utakuwa unafanya kwa uangalifu,bila kumuumiza mama au mtt
 
Huyo anapewa mgegedo mpaka anapokwenda kujifungua maybe mwenyewe asitake
 
Muda wote endelea kusugua cha Msingi kuwa Makini na style za kufanya hasa zile za kukunjana sana na kuinamishana haipendezi huend ukamsababishia Matatizo!

Missionary style is recommendable
 
Kama wewe ni baba halali wa mtoto miezi Tisa...
 
Mama mjamuzito anagegedwa mwanzo mwisho mpaka siku anayojisikia uchungu/kujifungua

Na mtoto akizaliwa na ile khali ya kuwa na vitu fulani hivi vyeupe kichwani ni moja ya kinga kwa mtoto na huruhusiwi kuvitoa/kuvikwangua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…