Msaada: Muda wa TAMISEMI kutoa vibali

Msaada: Muda wa TAMISEMI kutoa vibali

IYOMBO

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
381
Reaction score
218
Wana wa JF naomba mnijuze muda au tarehe ambapo TAMISEMI hutoa majina ya watumishi walioomba vibali vya kubadilishana vituo vya kazi hususa ni kwa wale tuliomaliza mchakato toka mwezi wa sita mwaka huu,nitashukuru kwa maelezo mazuri.
 
Back
Top Bottom