IYOMBO JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 381 Reaction score 218 Jul 7, 2015 #1 Wana wa JF naomba mnijuze muda au tarehe ambapo TAMISEMI hutoa majina ya watumishi walioomba vibali vya kubadilishana vituo vya kazi hususa ni kwa wale tuliomaliza mchakato toka mwezi wa sita mwaka huu,nitashukuru kwa maelezo mazuri.
Wana wa JF naomba mnijuze muda au tarehe ambapo TAMISEMI hutoa majina ya watumishi walioomba vibali vya kubadilishana vituo vya kazi hususa ni kwa wale tuliomaliza mchakato toka mwezi wa sita mwaka huu,nitashukuru kwa maelezo mazuri.
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Jul 7, 2015 #2 June na desemba