Nambukwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 243
- 146
Habari za jioni,
Nina ndugu yangu amelazwa Kibasila tokea juzi akitokea Temeke kwa ajili ya operation ya haraka lakin tokeo tumehamia muhimbili hamna kilichofanyika.
Hamna vipimo, wala hiyo emergency operation.
Mgonjwa anazidiwa sana na tumeanza kuogopa yaan afadhal alivyokuwa Temeke .
Naomba daktari ambaye yupo muhimbili atusaidie ku speed up hii process hata kumpata daktari atakayefanikisha operation.
Mgonjwa ana maumivu makali sana.
Wamesema ni henia ila iko na kitovu kwa hiyo ni hatari kwahiyo ni operation kubwa na mfumo wa chakula haufungi vizuri.
Mimi sio mtaalamu sana .
Tafadhali sana jamani..
Desparate family