aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
nimekuwa na tatizo moja sasa nimekuwa naumwa maralia mara kwa mara.Yani kupita mwezi bila kuumwa inakuwa ni ajabu sana,na cha zaidi ni malaria nshapima vyote vipimo muhimui nipo sawa. dawa ya mzizimkavu ya vitunguu swaumu na malimao nilitumia lakini matoke yake hali ilizidi kuwa mbaya sikupata nafuu yoyote hata .sasa naomba kwa mtu mwenye uelewa shida itakuwa ni nini maana inanikwamisha muda mwingine kufanya mambo mengine.kama unajua dozi ama daktari wa kumuona naomba unambie na hospitali pia nzuri kwa vipimo