msaada muhimu wadau hali ni tete

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
nimekuwa na tatizo moja sasa nimekuwa naumwa maralia mara kwa mara.Yani kupita mwezi bila kuumwa inakuwa ni ajabu sana,na cha zaidi ni malaria nshapima vyote vipimo muhimui nipo sawa. dawa ya mzizimkavu ya vitunguu swaumu na malimao nilitumia lakini matoke yake hali ilizidi kuwa mbaya sikupata nafuu yoyote hata .sasa naomba kwa mtu mwenye uelewa shida itakuwa ni nini maana inanikwamisha muda mwingine kufanya mambo mengine.kama unajua dozi ama daktari wa kumuona naomba unambie na hospitali pia nzuri kwa vipimo
 
Mimi kwa Ushauri wangu...
inawezekana una ugonjwa tofauti na malaria. Jaribu kupima typhoid kwani dal ili zake zinafanana na malaria tofauti yake ni Kuwa typhoid Huleta homa za usiku (mgonjwa husikia joto sana usiku na pengine kutoka na jasho)

maleria ni rahisi kupima ila pia kuna uwezekano Majibu unayopewa sio sahihi....huenda umeshapona ila kinachokufanya ujisikie kuumwa ni sumu ya dawa iliyoko mwilini kwa sababu yankumeza dawa Mara kwa Mara.

Jaribu yafuatayo;
Kunywa maziwa ya ngombe fresh (yaliyo chemshwa na bila kutiwa kitu) mfululizo kila siku jioni nusu lita na hata zaidi (asubuhi na jioni) Kama yanapatikana kwa wiki Moja ili kuondoa sumu ya dawa ulizomeza
unaweza kujisikia umepona kabisa na haukuwa na malaria.
Ukipata nafuu endelea kunjwa maziwa pole pole hadi mwilibuimarike kabisa.

baada ya kunjwa maziwa kwa siku kama tatu unaweza kupima tena malaria na typhoid ila jaribu kwenda Kwenye Maabara tofauti au hospital tofauti pia nakushauri umuambie daktari dalili tu ila usimnganganize kuwa wewe ni sumu wa malaria.

mwisho, ni vizuri ufahamu majina ya dawa ulizotumia au uwe na cheti ili ukitoka una malaria ubadilishiwe dawa kwani inawezekana unatokwa update dawa ya juu zaidi ya unayo tumia.

usisahau kulala Kwenye net mapem a kidogo saa nne usiku hivi na kuamka kuandika saa kumi na moja hivi. Mbu wa malaria huwa kazini Kati ya saa tano usiku na saa kumi na Moja hivi alfajiri.
 
Kuna tatizo la haemorrhoid huwa linaleta homa kama maralia au typhod ni bora ukafanya uchunguz wa kina sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…