G gapxo Senior Member Joined Jun 7, 2017 Posts 130 Reaction score 72 Jun 27, 2017 #1 Naomba ushauri wanajukwaa, Mikono yangu usiku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani ? Nimepima damu na mkojo nipo ok Natanguliza shukrani
Naomba ushauri wanajukwaa, Mikono yangu usiku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani ? Nimepima damu na mkojo nipo ok Natanguliza shukrani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 27, 2017 #2 Nakushauri uende hospito kwa mtaalam wa masuala ya ngozi akusaidie
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jun 28, 2017 #3 gapxo said: Naomba ushauri mikono yngu usku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni mgonjwa gani na nitumie sawa gani ? Nimetuma dam na mkojo nipo ok Click to expand... Tafuta Utomvu wa Mshubiri uwe unajipaka sehemu yenye huo muwasho na malengelenge utapona.
gapxo said: Naomba ushauri mikono yngu usku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni mgonjwa gani na nitumie sawa gani ? Nimetuma dam na mkojo nipo ok Click to expand... Tafuta Utomvu wa Mshubiri uwe unajipaka sehemu yenye huo muwasho na malengelenge utapona.