Habari wakuu,
Naomba msaada waharaka,ninampenzi wangu ambae kwamara ya kwanza nimesex nae nilikuwa.ni juzijumaa,jumamosi akaanza kuhisi muwasho sehemu za siri haswa anapokwenda haja ndogo.Jana na Leo anadai anahisi.maumivu yaani kama kunamichubuko.Naomba msaada atumie Dawa gani ili arudi ktk hali yake ya kawaida?AhsanteniAhsanteni.