Chemist boy
Member
- Mar 24, 2018
- 57
- 60
OK,nmekuwa terminated tangu tarehe 9 march,2018...sababu ni,kiongoz wangu alienishtak alienda kwa afisa mwajiri na kumuelezea hali ilivokuwa,wakati huo Mimi sikuwepo,baadae nikaitwa Mimi na afisa mwajiri,yeye anasema aliniita ili anisikilize ila baada ya kufika alianza kunihukumu bila kunisikiliza akiamini kiongozi wangu alkuwa sahihi,ilhali alikisea ndio maana at a kosa lenyewe nikakutwa sina hatia,kwa ivo baada ya kuona sijapewa haki ya kusikilizwa nikaamua kuondoka kwenye icho kikaoUmekuwa terminated lini na kwa sababu gani??tuanziee hapo then nikujibu swali lako
Asante mkuu kwa ushauriVery simple. tafuta mwanasheria fungua kesi. utalipwa hela nzuri sana. trust me. Hakuna muajili aliewah shida kesi ya unfair termination
OK,nmekuwa terminated tangu tarehe 9 march,2018...sababu ni,kiongoz wangu alienishtak alienda kwa afisa mwajiri na kumuelezea hali ilivokuwa,wakati huo Mimi sikuwepo,baadae nikaitwa Mimi na afisa mwajiri,yeye anasema aliniita ili anisikilize ila baada ya kufika alianza kunihukumu bila kunisikiliza akiamini kiongozi wangu alkuwa sahihi,ilhali alikisea ndio maana at a kosa lenyewe nikakutwa sina hatia,kwa ivo baada ya kuona sijapewa haki ya kusikilizwa nikaamua kuondoka kwenye icho kikao
Ndo natafuta mtu mkuu wa kuniongozaKesi yako ndogo sana
Na ukicheza vizur mtavuna mpunga mrefuNdo natafuta mtu mkuu wa kuniongoza
Mungu asaidie mkuu nimpate mtuNa ukicheza vizur mtavuna mpunga mrefu
Chanzo kilikuwa hivi,Team leader aliniandikia sms asubuh kuwa natakiwa kuingia kazin night,wakat iyo siku kawaida Mimi huwa nakuwa off,ilikuwa jumatatu na mtu anaeingiaga night iyo juma tatu yupo na hakuwa na excuse kwa maana ya ugonjwa au emergency yeyote maana mi nilimpigia simu uyo mwenzangu akathibitisha hilo kuwa hakuwa na tatitzo,kumbe Team leader anasema alikaa kikao siku ya jumamosi na kubadili ratiba ya kazi,watu waliokuwepo kwenye hichi kikao wanasema hakusema kitu kama hicho,na hata tulipokuwa hearing nilipomtaka athibitishe hilo alishindwa,kwa iyo alibadili ratiba kwa utashi wake na bila kutupa taarifa,sasa siku ya shift yangu ilipofika ilkuwa jumatano,ndipo aliponitaka niandike maelezo kwa nini sikufika kazini iyo siku ya jumatatu,akaamua kulipeleka suala juu kwa production manager,nikaitwa nikaeleza kama nilivoeleza hapo juu,boss akatupilia mbali hilo kosa na akamtaka hilo suala lihishe na tufanye kazi kama kawaida,kumbe Team leader ule uamuzi haukumridhisha ili hali alikubali yahishe mveke ya boss,ndipo alipoamua kwenda HR ofisi kushitaki,huko sasa nikaitwe,ile kufika tu uyo afisa mwajiri akaanga kama kunihukumu bila kunisikiliza,ina maana aliona yule Team leader yupo sahihi,aliniuliza maswaki kama,"iv utajisikiaje watu wakisema umekuwa terminated?hapo hata hajanisikiliza bado,nilipoomba nafasi ya kujieleza hakunipa,binafsi nilikereka nikaamua kuondoka nikawaacha wenyewe maana niliona hakuna haki pale,ndipo nikaitwa hearing,sasa hearing suala la kutofika kazini waliniona nimeonewa ivo wakaniambia sina hatia,sasa walinikuta na hatia kosa la pili hilo la kuondoka kwa uyo afisa mwajiri,na kukataa kuandika maelezo.
Wahi CMA kabla muda wa rufaa haujapita.Asa
Asante mkuu kwa ushauri
Ulionesha " dharau" kwa kiongozi wako. Fungus shauri, na siku ikifika ukatae kwamba hukuondoka kwa dharau. No evidence.Chanzo kilikuwa hivi, Team leader aliniandikia sms asubuh kuwa natakiwa kuingia kazin night,wakat iyo siku kawaida Mimi huwa nakuwa off, ilikuwa jumatatu na mtu anaeingiaga night iyo juma tatu yupo na hakuwa na excuse kwa maana ya ugonjwa au emergency yeyote maana mi nilimpigia simu uyo mwenzangu akathibitisha hilo kuwa hakuwa na tatitzo,
Kumbe Team leader anasema alikaa kikao siku ya jumamosi na kubadili ratiba ya kazi,watu waliokuwepo kwenye hichi kikao wanasema hakusema kitu kama hicho,na hata tulipokuwa hearing nilipomtaka athibitishe hilo alishindwa, kwa iyo alibadili ratiba kwa utashi wake na bila kutupa taarifa,sasa siku ya shift yangu ilipofika ilkuwa jumatano,ndipo aliponitaka niandike maelezo kwa nini sikufika kazini iyo siku ya jumatatu,akaamua kulipeleka suala juu kwa production manager,
nikaitwa nikaeleza kama nilivoeleza hapo juu,boss akatupilia mbali hilo kosa na akamtaka hilo suala lihishe na tufanye kazi kama kawaida,kumbe Team leader ule uamuzi haukumridhisha ili hali alikubali yahishe mveke ya boss,ndipo alipoamua kwenda HR ofisi kushitaki,huko sasa nikaitwe,ile kufika tu uyo afisa mwajiri akaanga kama kunihukumu bila kunisikiliza,ina maana aliona yule Team leader yupo sahihi,aliniuliza maswaki kama,"iv utajisikiaje watu wakisema umekuwa terminated?
Hapo hata hajanisikiliza bado, nilipoomba nafasi ya kujieleza hakunipa,binafsi nilikereka nikaamua kuondoka nikawaacha wenyewe maana niliona hakuna haki pale, ndipo nikaitwa hearing,sasa hearing suala la kutofika kazini waliniona nimeonewa ivo wakaniambia sina hatia, sasa walinikuta na hatia kosa la pili hilo la kuondoka kwa uyo afisa mwajiri,na kukataa kuandika maelezo.
Nitafute chemba. Upo mkoa gani nikutafutie MTUMungu asaidie mkuu nimpate mtu
Kuna kitu nafikiri hujakielewa,nafikiri ata ungekua ww, tayar mtu anakuuliza swali kama utajisikiaje ukiwa terminated?na hajakusikiliza sasa ungekua ww ungekaa ili update nn?wakt tayr mazngira yalionesha amedhamiria terminationKwa nini uliondoka bila kumsikiliza mshitaki/HR wako?? Hivi watu wote tungekuwa kama wewe tungeweza kutatua migogoro?? Kwa jinsi ilivyo kesi lazima urudishe huo mpunga wa allowance.
Ok mkuuUlionesha " dharau" kwa kiongozi wako. Fungus shauri, na siku ikifika ukatae kwamba hukuondoka kwa dharau. No evidence.
Ok nitajitahidiWahi CMA kabla muda wa rufaa haujapita.