Msaada: Mwajiri anataka nimlipe fedha ya likizo baada ya kuni terminate

Kwa jinsi nilivyosoma umeachishwa kazi kwa kosa la nidhamu

Kama wanakuachisha wao

Hutakiwi kulipa chochote wala kulipwa chochote

Kwa wao kukulipa wamekupendelea sana.

Ila pia hukutakiwa kulipa malipo ya januari.


Soma sheria ya ajira na mahusiano kazini ujue haki zako
 
Kwani ni Gross misconduct?
 
Kiukweli nimepitia huo waraka wa ajira ila sijabahatika kuona sehemu ambayo inasemaje kama mtu amefukuzwa kazi anatakiwa ailipe kampuni likizo aliyokwenda,ndo maana nikaja huku pengine wenzangu wanafahamu sheria zaid,kwan at a staff handbook ya iyo kampuni sijawh kuona icho kitu
 
Hakutakiwa kulipwa kwa misinghi ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…