Msaada: Mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto

saladi

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
31
Reaction score
11
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO NAOMBENI USHAURI WENU,SABABU NIMEKOSA TUMAINI KABISA

========================================================================
Update Kutoka Kwa Muhusika
========================================================================

pole sana dada kama upo okey upande wako, mmeo vp upande wake???pia unaweza kutusaidia kufafanua maana ya pcos?
 
Nikushauri kuwa na mumeo apime yawezekana ana "Low sperm count",kama hakuna tatizo hilo au lingine
niwashauri mkimbilie kwa Yesu yeye ni zaidi ya madaktari wote,pale waliposhindwa wanadamu yeye anaanzia hapo,usikute una 'spiritual husband au mwenzio ana spiritual wife'
 
Hizi pcos ni kwamba ovaries zinakuwa zimezungukwa na vivimbe vidogo dogo zinazofanya zisipevuke vivuri coz nimekuwa pia irregular period ambayo inasababiswa na hizo cyst
 
Regular exercise, Food diet and use of Metformin simultaneously may return your menstruation to Normal! If that failed then "Laparascopy Ovarian Drilliang" is recomended !
 
Pole sana
Mtoto ni zawadi toka kwa Mungu nae kwa wakati akakupa tu ila uwe na Imani.
 
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO NAOMBENI USHAURI WENU,SABABU NIMEKOSA TUMAINI KABISA

Mwenzio nae alikwenda jospital kupima,coz shida hii yaweza kuwa kwa mwanamke au mwanamume
 
hatimaye nimepata ujauzito,asante mungu,nashukuru kwa michango yenu

Hongera sana mungu akujaalie salama katika safar yako na akujaalie mtoto mwenye afya njema

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hatimaye nimepata ujauzito,asante mungu,nashukuru kwa michango yenu

Hongera sana mpendwa.... Mungu wetu ni mwema na hujibu kwa wakati....!

Natumaini atakupigania katika kipindi chote cha ujauzito na utajifungua salama...!!
 
hatimaye nimepata ujauzito,asante mungu,nashukuru kwa michango yenu

Hongera sana Mungu akujaalie upate mtoto mwema! But nilikuwa nauliza kidogo, Umepata ujauzito huo naturally au kuna dawa umetumia Dawa gani? Kuna dada yangu naye ana tatizo hilo hilo la PCOS , angependa nayeye apate ushuhuda wako na ushauri wako!
 
Ulitumia nn nina tatizo kam hilo kwenye ovary moja na sijabahatika kupata mtt
 
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO NAOMBENI USHAURI WENU,SABABU NIMEKOSA TUMAINI KABISA

Pole sana. Mumeo amepima kama ana tatizo au laaa? Kama unaamini annointing water ya TB Joshua kainunue. Ndugu yangu alikaa miaka 15 bila mtoto. Kutumia maji ya upako ya tv joshua na kusikiliza kwa imani Emmanuels Tv leo hii ana mtoto wa.miezi 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…