Hongera sana Mungu akujaalie upate mtoto mwema! But nilikuwa nauliza kidogo, Umepata ujauzito huo naturally au kuna dawa umetumia Dawa gani? Kuna dada yangu naye ana tatizo hilo hilo la PCOS , angependa nayeye apate ushuhuda wako na ushauri wako!
hatimaye nimepata ujauzito,asante mungu,nashukuru kwa michango yenu
miaka ni tofauti
pole sana jaman mungu ni mwema atakuponya MziziMkavu njoo pande hizi
Muwe mnapitia maoni ya wengine kabla ya kukomenti sawa mama Manka
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO.
NAHITAJI SANA MTOTO NAOMBENI USHAURI WENU,SABABU NIMEKOSA TUMAINI KABISA
saladi tujibu ulifanya nn mwenzio nina tatizo kama lako please
Ninaamini n naitafuta kwan wanauza na kam wanauza wapi hy anointing water?
poleni wapendwa,nilikuwa naumwa kundolewa pole jaman,nilienda hosp nikapewa dawa aina ya norethesterone for 30 days use nilibleed kweli kupima tena no pcos then nikasafishwa kizazi na kupewa clomid then nikaconceive sikuamin,baby dust to all,our lord hears