Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
Habari ya leo waungwana wa jukwaa hili la lugha yetu adhimu ya kiswahili!
Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi nitapata mtaalam wa kufundisha kiswahili kwa wageni/wahamiaji halali.
Nadhani nikisema wageni/wahamiaji halali ninaeleweka. Wageni hawa wanaongea lugha ya kiingereza. Wageni wapo Dar es salaam kikazi, na hivyo kutahitajika ratiba maalumu.
Mtaalam huyu wa kufundisha kiswahili, atahitakija kufundisha lugha ya kiswahili chepesi - kwa maneno mengine ni "for beginners".
Kama kuna aliyepo humu tafadhali wasiliana nami kwa PM.
Tafadhali naomba msaada wenu.
Asante,