kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Nadhani unajituma mno mkuu mpaka unagusa mfuko wa uzaziNikifanya mapenzi na mwanamke ananilalamikia kupata maumivu ya tumbo la uzazi baada ya manii yangu kumuingia.
Je nina tatizo gani kwenye manii yangu?
Tiba yake ni nini?
Naomba msaada manake naona ntakimbiwa.
Mkuu sababu ni nyingi, Je tatizo limeanza toka akiwa na umri gani?na ni muda hasa ndio huwa kunauma(joto kali, baridi kali, akila, akiwa na njaa, akikohoa, akicheka ).mkuu hivi na hili ya kitovu kuuma kwa mwanamke linatokana na nini??