Msaada: Mwanangu akicheka anapata kwikwi

Msaada: Mwanangu akicheka anapata kwikwi

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,717
Reaction score
1,823
Natumaini humu jukwaan tuna madaktari wazuri na hata watu wengine waliokwisha kutana na tatizo kama langu mwanangu ana miezi 7 sasa, akicheka sana anapatwa na kwikwi.

Mpaka nimeacha kumchekesha kwani namuonea huruma nilimuuliza daktari ambaye ni best yangu akaniambia ni kawaida itaisha.
Naomba msaada wenu nimpe dawa gani? Au nifanye nini?
 
Mpeleke Hospital akachunguzwe ndio itakuwa bora zaidi na utajua namna ya kulitatua hilo tatizo
 
Natumaini humu jukwaan tuna madaktari wazuri na hata watu wengine waliokwisha kutana na tatizo kama langu. mwanangu ana miezi 7 sasa, akicheka sana anapatwa na kwikwi. Mpaka nimeacha kumchekesha kwani namuonea huruma. Nilimuuliza daktari ambaye ni best yangu akaniambia ni kawaida itaisha.
Naomba msaada wenu nimpe dawa gani? Au nifanye nini?

1.Mpe fundo la maji, ikishindikana

2.Chukua mfuko wa karatasi mvalishe kichwani uvunike uso wote hadi shingoni umuache apumue humo kama dk 1-2 halafu mfunue basi kwiki itaaacha, hii ni hatari kidogo unatakiwa usimamie ili asije akashindwa kupumua ukiona kunatokea hali kama ya kushindwa kupumua usikifikishe dakika mvunue haraka.Narudia hii ni hatari kwa mtoto inahitaji usimamizi wa karibu wakati unamfanyia tendo hili.

Kuna nyingine kadhaa lakini jaribu hizi mbili kwanza.Natumai moja kati ya hizi mbili Itamsaidia..
 
Back
Top Bottom