Natumaini humu jukwaan tuna madaktari wazuri na hata watu wengine waliokwisha kutana na tatizo kama langu. mwanangu ana miezi 7 sasa, akicheka sana anapatwa na kwikwi. Mpaka nimeacha kumchekesha kwani namuonea huruma. Nilimuuliza daktari ambaye ni best yangu akaniambia ni kawaida itaisha.
Naomba msaada wenu nimpe dawa gani? Au nifanye nini?
Yes akipelekwa child hospitals akafanyiwe uchunguzi itapendeza zaidiMpeleke Hospital akachunguzwe ndio itakuwa bora zaidi na utajua namna ya kulitatua hilo tatizo