Msaada: Mwanangu anasumbuliwa na kizungu zungu sana nakichwa kuuma

hunter2018

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
9
Reaction score
7
Mtoto wangu ana umri wa miaka 13 anasumbuliwa sn namaumivu yakichwa' nakujicikia hali yakizungu zungu mara kwa mara yn huwa aipiti hata wiki huwa linamtoke kwa hiyo muda mwingi sn huwa anateseka mpaka namuonea huruma sana mwanangu" na huyu mtoto mwakani Isnha'allah anaingia Std7 Sasa wasi wasi wangu yawezekana akashindwa hata kuwa bize na masomo"Kwa hiyo kupitia jukwaa hili la JF naomba kama kuna mtu anayezifahamu'dawa zakuweza kumsaidia mwanangu ili tatizo lake hili liishe.
 
Haya maradhi Mungu atuokoe Na Mimi nimekuwa sana Na hili tatizo mpaka nikahisi ni HIV nimepima pima Na wewe hakuna kitu lakini namshukuru Mungu kiliisha tu chenyewe lakini nimemeza Dawa sana huu mwaka kwa kwel naomba tu Mungu mwaka uishs maana umekuwa mgumu sana kwangu
 
Mkuu mpeleke hospitali akacheki Hb. Upungufu wa damu hauambatana na hyo hali
 
Mpeleke hospitali mkuu wampime wingi wa damu(hb) na vipimo vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…