Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mkuu asante, ila naomba maelezo zaidi.Blue band
Maziwa mgando
Anapandisha joto?Habari wakuu,
Kijana wangu wa miezi nane anasumbuliwa na vipele ambavyo vinakuwa na usaha ndani. Vinamuwasha sana kiasi kwamba hawezi kulala na hata akilala basi atastuka muda mfupi.
Kwakweli ni mateso makubwa kwake. Nimempeleka hospitali akapata tiba ya muda mfupi lakini baada ya muda vinarudi.
Naomba msaada wenu wakuu.
Yes, anapandisha joto wakati mwingine. Nampoza kwa panadol.Anapandisha joto?
Hiyo ni Impetigo, ni serious infection ya ngozi (bacteria), inaweza leta compications nyingi zaidi, cha msingi nenda hospitali apewe huduma muafaka, si vyema kusema matibabu hapa sababu taaluma ya udaktari haisupport matibabu ya mtandaoni au simu (bila kumwona mgonjwa), dr atamwona na kuna vipimo atafanya vya kujiridhisha kuhusu magonjwa yanayoweza ambatana na huo ugonjwa, hivyo hapa nakupa ushauri uwahi huko.... homa katika hali hiyo ya ngozi si dalili nzuri.Yes, anapandisha joto wakati mwingine. Nampoza kwa panadol.
Huo sio upele jamanKwa watoto wadogo acha kutumia vyakula vyote vya supermarket ni hatari kwa ngozi na afya kwa ujumla, hvyo vipele vinapona lkn zingatia sana misosi ya supermarket, acha acha acha
Ni majipuu?? Mkuuu?? Hizo ni abbression tu wahi hospitalHuo sio upele jaman
Ni impetigo mkuuNi majipuu?? Mkuuu?? Hizo ni abbression tu wahi hospital
Unauza au unahitaji hivyo vituBlue band
Maziwa mgando
Nilienda jana kwa daktari wa watoto yupo Sinza Kijiweni (Dr. Emmanuel) vipimo vinaonesha ana blood infection. Nimepatiwa dawa ya kunywa, kuoshea na kupaka. Nasubiri nione kama atapona.Hiyo ni Impetigo, ni serious infection ya ngozi (bacteria), inaweza leta compications nyingi zaidi, cha msingi nenda hospitali apewe huduma muafaka, si vyema kusema matibabu hapa sababu taaluma ya udaktari haisupport matibabu ya mtandaoni au simu (bila kumwona mgonjwa), dr atamwona na kuna vipimo atafanya vya kujiridhisha kuhusu magonjwa yanayoweza ambatana na huo ugonjwa, hivyo hapa nakupa ushauri uwahi huko.... homa katika hali hiyo ya ngozi si dalili nzuri.
Yupo sahihi.... tumia dawaNilienda jana kwa daktari wa watoto yupo Sinza Kijiweni (Dr. Emmanuel) vipimo vinaonesha ana blood infection. Nimepatiwa dawa ya kunywa, kuoshea na kupaka. Nasubiri nione kama atapona.
Hahahah mbona kama hujiamini? Mtoto atapona tu ukifuata masharti, usipo fuata atajiambukiza tena (reinfection), na hali itarudia tenaNilienda jana kwa daktari wa watoto yupo Sinza Kijiweni (Dr. Emmanuel) vipimo vinaonesha ana blood infection. Nimepatiwa dawa ya kunywa, kuoshea na kupaka. Nasubiri nione kama atapona.
Wasiwasi muhimu mkuu, katoto kenyewe ndio hako hako kamoja roho yangu.Hahahah mbona kama hujiamini? Mtoto atapona tu ukifuata masharti, usipo fuata atajiambukiza tena (reinfection), na hali itarudia tena