Msaada: Mwanangu anasumbuliwa na vipele vyenye usaha

hao ni wadudu wa staphylococcus. watu wengi wanao hivyo mtoto akipona wanamuambukiza tena. pia wapo kwenye nguo kama mataulo. siyo hatari sana ila akiendelea navyo vinaweza mletea pneumonia. kamtibu na hakikisha anakuwa na usafi wa hali ya juu. sometimes unakuta watu wa karibu kama mama au dada wa kazi ndiyo wanaomuambukiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…