Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 172
Hili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf,
Tatizo hili limemuanza akiwa Mchanga na sasa ana miezi 9 nimejaribu mara kadhaa
kumpeleka hapo hospitali nimepewa vidonge lakini tatizo halijaisha
Mara nyingi akilia huwa kwa juu kwenye kinena panajaa na akiendelea zaidi kulia Pumbu
nazo zinavimba, tena siku hizi hufikia hata kujishika sehemu za siri kutokana na maumivu
Msaada wenu tafadhali.