we jinga kabisa, umenifanya nikaukie kucheka mbele za watu wakanishangaa.Pole sana kwani hiyo ni dalili ya "tezi dume" na hongera kwani atakuja kuwa Rais baadaye.
Hili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf,
Tatizo hili limemuanza akiwa Mchanga na sasa ana miezi 9 nimejaribu mara kadhaa
kumpeleka hapo hospitali nimepewa vidonge lakini tatizo halijaisha
Mara nyingi akilia huwa kwa juu kwenye kinena panajaa na akiendelea zaidi kulia Pumbu
nazo zinavimba, tena siku hizi hufikia hata kujishika sehemu za siri kutokana na maumivu
Msaada wenu tafadhali.
Pole sana kwani hiyo ni dalili ya "tezi dume" na hongera kwani atakuja kuwa Rais baadaye.
we jinga kabisa, umenifanya nikaukie kucheka mbele za watu wakanishangaa.
Hizo ni dalili za hernia , hiyo niHili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf,