msaada: mwanangu jicho linatoa matongotongo

libent

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
382
Reaction score
84
mtoto wangu nahisi anateseka maana jicho litoa matongotongo. Hapo mwanzo tulishauriwa mama yake amkamulie maziwa yake lakini bado hali inaendelea. Halafu ni siku ya nne hajapata choo. Ni mtoto wa mwezi mmoja
 
Peleka hospital haraka. Inawezekana mama ana maambukizo ambayo amemuambukiza mtoto. Hospital watampima na watakupa ushauri wa kutosha. Usichelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…