OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wakuu heading inajieleza.
Je kuna madhara makubwa kiasi gani, nimpe huduma gani ya kwanza?
Je kuna madhara makubwa kiasi gani, nimpe huduma gani ya kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana inatakiwa na wazazi mlilambe japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
Hii imani nimewahi kuisikia
hiyo haihusu kakawewe unahangaika na siasa kule hutaki kumtawaza mtoto mpaka amekula mavi, aibu kubwa kwako mkuu.
kuwa mkweli mkuu.ifanyike baada ya mda gani?wote wawili?pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
kuwa mkweli mkuu.ifanyike baada ya mda gani?wote wawili?
ucjali saana kwani ni dawa, angalia hapa https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=882149Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?
Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?
ni mdogo sana hata mwaka hajafika,naamini ni uchanga mkuuTaia ya mtoto kula kinyesi ni dalili flani ya ''utaahira''. Nakushauri umpeleke kwa wataalamu wa afya ya ubongo ili waone kama wanaweza kurescue situation kabla hali haijawa mbaya huko mbeleni.
Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?
usiache kunijibu kaka,ila bado kinyesi kipo kwenye kaptula aliyovaa coz haijafuliwani kweli mkuu ifanyike palepale mlipona kala ila kama mmeshamsafisha cjui inakuaje ngoja niulize ntarudi kukujibu
wewe unahangaika na siasa kule hutaki kumtawaza mtoto mpaka amekula mavi, aibu kubwa kwako mkuu.