Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wakuu heading inajieleza.

Je kuna madhara makubwa kiasi gani, nimpe huduma gani ya kwanza?
 
Taia ya mtoto kula kinyesi ni dalili flani ya ''utaahira''. Nakushauri umpeleke kwa wataalamu wa afya ya ubongo ili waone kama wanaweza kurescue situation kabla hali haijawa mbaya huko mbeleni.
 
Taia ya mtoto kula kinyesi ni dalili flani ya ''utaahira''. Nakushauri umpeleke kwa wataalamu wa afya ya ubongo ili waone kama wanaweza kurescue situation kabla hali haijawa mbaya huko mbeleni.
ni mdogo sana hata mwaka hajafika,naamini ni uchanga mkuu
 
Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?

mpe maji mengi...

hydration ndio huduma ya kwanza ... kama mdogo bado ananyonya haina shida maziwa ua mama yanatosha ....

lakini sikilizieni mabadiliko yoyote ..

Siku zote mtoto hata mkubwa anapokula chochote chenye kutia wasiwasi juu ya kudhuru afya yake anapaswa kuwaishwa kupewa maziwa fresh ya ngombe au mbuzi, baada ya hapo akimbizwe hospitali, epuka ushauri wa mambo ya kiimani mtadhurika bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…