Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,659 Dec 1, 2017 #1 Wakuu nawasalimu sana. Naombeni msaada kwa anayemjua Mwanasheria wa BRT ile kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi. Asanteni sana...
Wakuu nawasalimu sana. Naombeni msaada kwa anayemjua Mwanasheria wa BRT ile kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi. Asanteni sana...
Malyenge JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 6,658 Reaction score 3,659 Dec 1, 2017 Thread starter #2 Malyenge said: Wakuu nawasalimu sana. Naombeni msaada kwa anayemjua Mwanasheria wa BRT ile kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi. Asanteni sana... Click to expand... Naomba kujua jina na office iko wapi.
Malyenge said: Wakuu nawasalimu sana. Naombeni msaada kwa anayemjua Mwanasheria wa BRT ile kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi. Asanteni sana... Click to expand... Naomba kujua jina na office iko wapi.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,378 Reaction score 29,739 Dec 1, 2017 #3 Malyenge said: Naomba kujua jina na office iko wapi. Click to expand... BRT hawana office, brt ni jina la mradi. Kama unataka msimamizi wa brt Tz ni DART, ofisi zao nafikiri ziko millenium tower Dsm, kama ninoperator ni UDART wapo jangwani.
Malyenge said: Naomba kujua jina na office iko wapi. Click to expand... BRT hawana office, brt ni jina la mradi. Kama unataka msimamizi wa brt Tz ni DART, ofisi zao nafikiri ziko millenium tower Dsm, kama ninoperator ni UDART wapo jangwani.