Msaada.mwanasheria wa kujitolea

LUSA

Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
7
Reaction score
2
My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience
 
Please run down your resume so we can see your credentials.
 
My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience

Jaribu kuomba Law firms zilizoko mikoani.Huwa kule ma-lawyer wengi hawapendi kwenda mikoani lakini wako wazalendo walioko huko huwa pia wana kazi kibao.Mikoa ya kuepuka ni Unapoomba ni DAR,MWANZA,ARUSHA huko kupata kazi kugumu.

Pia usidharau kuomba kazi serikalini ya uhakimu mfano serikali bado ina upungufu wa mahakimu.

Jaribu pia ualimu wa vyuo vikuu kama degree yako ina pass nzuri.Jaribu kuomba matawi ya vyuo vikuu vilivyoko mikoani,DAR usithubutu watu hapa wameenea CV zao. Matawi ya vyuo vikuu Mikoani kuna upungufu wa walimu sana .Ukikwama vyuo vikuu kupata u-tutorial assistant basi omba teaching jobs kwenye vyuo vya kati vinavyotoa Ordinary Diploma na certificates ambazo huwa wana masomo ya law kwenye syllabus zao na huhitaji wenye degree za law kufundisha. Kuweza kufanikiwa pia ni vizuri utafute pia vyuo vilivyoko mikoani kuongeza uwezekano pia wa kufanikiwa.Ukikwama na huko omba kufundisha eg.High school masomo kama historia kama ulifaulu vizuri kidato cha sita.

Lakini ni vizuri pia ukaweka CV yako ili watu wajue u-mespecialize branch gani ya law,pass zako n.k ili ushaurike vizuri.

All the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…